Kenyans Live

Wakazi wa Chaka washiriki kutoa maoni kuhusu ujenzi wa kiwanda cha saruji

Description (show more)

Zoezi la ukusanyaji maoni kuhusu ujenzi wa kiwanda Cha saruji kupitia kampuni ya DEVKI eneo la Chaka kaunti ya nyeri Kwa Sasa linaendelea, wakaazi wakielezwa manufaa yatakayotokana na ujenzi wa kiwanda hicho.

Share: