Kenyans Live

Wanafunzi Kenya Coast National Polytechnic wazua vurugu kulalamikia kucheleweshwa kwa matokeo

Description (show more)

Shughuli za masomo zakwama katika taasisi ya mafunzo ya Kenya Coast national Polytechnic kaunti ya Mombasa, baada ya wanafunzi kuzua vurugu wakilalamikia kucheleweshwa kwa matokeo ya mitihani miongoni mwa masuala mengine.

Share: