KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
15 viewsYouTube
Description (show more)
Muungano wa walimu wa shule za upili na vyuo anuai KUPPET umetaka kusitishwa kwa vikao vya kukusanya maoni kuhusu ufadhili wa elimu nchini. KUPPET ikitaka mashauriano na mchango wa walimu, wazazi pamoja na miungano ya walimu kufanywa kabla ya zoezi hilo kuendelea. Vikao hivyo viliendelea kaunti za Kisii na Kericho.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
🔴LIVE || DR OFWENEKE TONIGHT || TV47KENYA
· 561 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:20Nairobi International Trade Fair organisers say Jamhuri ASK grounds 99ready to host the show
· 156 views
