Kenyans Live

Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika

Description (show more)

Taarifa za kuaminika zimekuwa kishawishi kikubwa katika kufanya maamuzi kuhusu uwekezaji huku wafanyabiashara wakitegemea mifumo thabiti ya deta, usimamizi na wafanyakazi wenye ujuzi. Wadau wa sekta ya kifedha wanataja ufinyu kwenye mifumo ya utoaji habari endelevu kama kikwazo cha utekelezaji wa viwango vya kimataifa vya utoaji habari. Taarifa hii ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: