Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
Description (show more)
Kenya inatarajiwa kujiunga na mataifa mengine duniani kwenye kongamano la 81 la baraza kuu la umoja wa mataifa-UNGA la mwaka-2026 ambapo masuala muhimu ya kimataifa yatajadiliwa. Kwenye kikao na wanahabari kuhusu mada kuu za mkutano huo, Katibu katika wizara ya mashauri ya nchi za kigeni Dkt Abraham Korir Sing'oei, alisema ajenda muhimu ya taifa hili kwenye kikao hicho itakuwa kutafuta uungwaji mkono wa Wakenya wanaopania kuwania nyadhifa muhimu kwenye umoja wa mataifa, ikiwemi kwenye nyanja ya akili-unde yaani AI. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa

🔴LIVE || DR OFWENEKE TONIGHT || TV47KENYA
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
1:49