Wasiwasi wa utayari wa kaunti kukabiliana na El Niño
Description (show more)
Kuna hali ya wasiwasi kuhusu utayari wa baadhi ya kaunti kukabiliana na athari za mvua ya El Nino. Huko Nyeri na Nakuru, mitaro imesalia kujaa taka huku wakaazi wakitaka suluhu ya haraka. Haya yanajiri huku ripoti zikionyesha kuwa kaunti 18 ziko kwenye hatari kubwa ya kuathirika na mvua hizo. Na kama anavyoarifu Maryanne Nyambura, naibu Rais Kithure Kindiki amewataka wadau kuunga mkono serikali ili kutoa msaada wa ziada kukabiliana na athari za El Nino.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
· 15 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:22Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
· 14 views
