Kenyans Live

Wananchi wataka msisitizo zaidi kwenye mafunzo na ushauri nasaha kwa wanaoathirika na pombe

Description (show more)

Baadhi ya wananchi kutoka maneo ya Kajiado na kiambu, wataka msisitizo zaidi uwekwe katika mafunzo, ushauri nasaha na urekebishaji tabia kwa waathirikao na uraibu wa pombe na mihadarati ili kudhibiti utumizi wa bidha ahizo. Aidha,serikali yaraiwa kushughulikia changamoto za ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana, hali ambayo inachangia vijana kupata msongo wa mawazo na kujiingiza kwenye uraibu.

Share: