Kenyans Live

Watu watano waangamia kwenye ajali ya barabarani Kikopey, Gilgil

Description (show more)

Watu watano wamefariki katika ajali ya barabarani huko Kikopey, Gilgil, Kaunti ya Nakuru. Watu hao walikuwa wakisafiria gari dogo lililogongana ana kwa ana na basi la kampuni ya Easy Coach kwenye barabara kuu ya Nakuru-Naivasha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: