Kenyans Live

Ruto apigiwa debe Dadaab kuelekea uchaguzi wa 2027

Description (show more)

Baadhi ya viongozi wa chama cha UDA katika kaunti ya Garissa wameendeleza kampeni za kumpigia debe Rais William Ruto kwa awamu yake ya pili uongozini wakisema ameimarisha hali ya usalama na kuleta maendeleo eneo hilo.

Share: