Uhaba wa maziwa waendelea, bei zapanda
Description (show more)
Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, uhaba wa maziwa umeendelea kushuhudiwa nchini, huku serikali ikikosa suluhu mwafaka ya kukabiliana na hali hiyo. Uhaba huo sasa umechangia kupanda kwa bei ya maziwa, huku maduka makuu yakiweka kikomo cha kiwango cha maziwa ambacho kila mteja anaruhusiwa kununua. Hali hii imeibua lawama kutoka kwa wakulima, wanaoilaumu serikali kwa kuchangia kuongezeka kwa bei ya chakula cha mifugo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
· 15 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:22Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
· 14 views
