Kenyans Live

Wakandarasi Taita Taveta Wataka Kulipwa Madeni ya Kuanzia 2013

Description (show more)

Baadhi ya wanakandarasi kaunti ya Taita Taveta wamejitokeza na kuitaka serikali ya kaunti hiyo kuwalipa malimbiziki ya fedha zao wanazodai kutoka mwaka 2013. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Ben Kibengo wanasema sharti wanakandarasi kutoka kaunti hiyo wawe wa kwanza kulipwa fedha wanazodai serikali baada ya kutekeleza miradi mbalimbali mashinani.

Share: