Hukumu ya Obado na Washtakiwa Wenzake Katika Kesi ya Sharon Otieno
Description (show more)
Gavana wa zamani wa migori okoth Obado pamoja na washtakiwa wenzake wawili Michael Oyamo na Caspal Obiero wanasikiliza hoja za kuhukumiwa leo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha rongo Sharon Otieno. Hukumu hiyo inatolewa katika mahakama ya milimani hapa nairobi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
· 15 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:22Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
· 14 views
