Kenyans Live

Familia moja katika eneo bunge la Runyenjes yanadai haki kufuatia kifo cha jamaa yao

Description (show more)

Familia moja kutoka kijiji cha Kiamboa, Kathanjuri katika eneo bunge la Runyenjes yataka haki itendeke kufuatia kifo cha jamaa yao, mfanyabiashara Lawrence Gitonga, maarufu kama Afro, ambaye mwili wake ulipatikana katika mto ukiwa na majeraha makubwa kichwani. Gitonga alikuwa ameripotiwa kutoweka, hali iliyozua hofu miongoni mwa familia na marafiki ambao wamtafuta kwa muda, kabla ya mwili wake kupatikana na maafisa wa polisi na kutambuliwa na familia katika mochari ya hospitali ya Runyenje Level 4

Share: