Kenyans Live

Mahakama yaonya visa vya kutovumiliana kisiasa huenda vikahujumu demokrasia kabla ya uchaguzi

Description (show more)

Idara ya mahakama imeonya kwamba visa vya hivi punde vya kutovumiliana kisiasa huenda vikahujumu demokrasia hapa nchini kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Katika mkutano wa kitaifa wa wadau kuhusu uchaguzi wenye amani, wanasiasa na wananchi walihimizwa kuhakikisha kwamba shughuli ya upigaji kura inafanywa kwa njia huru na inayokuza imani na heshima. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: