Kenyans Live

Gavana wa Kirinyaga azindua zahanati mpya karumandi

Description (show more)

Wakazi wa wadi ya Karumandi katika Kaunti ya Kirinyaga sasa wanaweza kupata huduma za afya kwa urahisi zaidi kufuatia kufunguliwa kwa zahanati mpya ya Kavote.

Share: