Jeremiah Mwaura auguza majeraha aliyopata katikati maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta
Description (show more)
Kwa Jeremiah Mwaura mwenye umri wa miaka 46, safari ya kawaida ya kwenda jijini Nakuru kununua vifaa vyake vya kazi ya useremala iligeuka kuwa masaibu yaliyobadilisha maisha yake. Mwaura alijipata katikati ya vurugu wakati wa maandamano ya Juni 18, mwaka 2026 ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Related Videos
More from NTV Kenya
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
· 15 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:22Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
· 14 views
