Kenyans Live

Mohamed Maalim Mohamud aanza kampeni za ugavana Mandera

Description (show more)

Mgombea wa ugavana wa Mandera, Mohamed Maalim Mohamud ameanzisha ziara kwa wakazi katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Mandera, huku akizidisha juhudi za kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi wa 2027.

Share: