Balozi Martin Kimani ateuliwa naibu katibu mkuu wa bara Afrika
241 viewsYouTube
Description (show more)
Kenya imejaliwa wadhifa mwingine wa juu katika shirika la umoja wa mataifa huku balozi Martin Kimani akiteuliwa kuwa naibu katibu mkuu kwa bara Afrika katika idara ya siasa na masuala ya kudumisha shughuli za amani. Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres alitangaza uteuzi huo huku Kimani akimrithi mwenzake anayeondoka Martha Ama Akyaa Pobee kutoka nchini Ghana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
· 15 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:22Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
· 14 views
