KALRO yaeneza maharagwe yenye madini ya chuma kwa wingi
Description (show more)
Kwa miaka mingi, wakulima wamekuwa wakitumia mbegu za maharagwe zilizohifadhiwa kutoka mavuno ya awali, hali ambayo mara nyingi imechangia uzalishaji mdogo, huku upungufu wa madini ya chuma ukiendelea kuwa changamoto ya lishe. Watafiti wa KALRO katika Kaunti ya Trans-Nzoia sasa wanaendesha mpango wa kueneza kibiashara aina ya maharagwe ya Nyota, yenye kiwango cha juu cha madini ya chuma. Mpango huo unalenga kuongeza upatikanaji wa mbegu bora zilizothibitishwa, kuongeza uzalishaji na kuboresha lishe, kama Denis Otieno anavyoangazia kwenye Kilimo Biashara wiki hii.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:05KUPPET yataka vikao vya ufadhili wa elimu kusitishwa
· 15 views
4:30Siha na maumbile | Kumbukizi ya siku ya kuzuia kujitoa uhai duniani
· 40 views
37:53Mzozo umeibuka ndani ya kundi la Linda Mwananchi; je, hili lina maana gani kwa vuguvugu hilo?
· 87 views
1:22Kanja kuamriwa kufika kortini kwa kutotii amri
· 363 views
1:12Viongozi wamuomboleza Maureen Nyadida Lukoye
· 231 views
3:02Maandalizi ya maonesho ya kibiashara ya Nairobi yakamilika
· 14 views
1:13Familia ya Raila yatangaza kamati ya maadhimisho ya kumbukumbu
· 268 views
2:22Rais Ruto kuhudhuria kongamano la UNGA
· 14 views
